WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Natafuta wa kubadilishana nae idara ya msing niko wilaya ya Bunda,Mara atoke Arusha.kilimanjaro au manyara.kwa mawasiliano zaid 0787181565
 
naomba process ulivofanya had hatua ya mwisho ikiwezekana naomba contact zako nisaidien jaman.ci2 tumefikia hatua ya kujibiwa na wakurugenz na kuandikiwa barua wote wawil kua kuna nafas lkn bada ya hapo hatua gan inafuata
 
Kwa alie dodoma wilaya ya chamwino anatakakuja Mwanza wilaya ya sengerema ni PM. (SERIOUS)
 
Mimi ni mwalimu kutoka wilaya ya mbinga mkoa wa Ruvuma natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi atoke mkoa wa Singida (yaani yeye aje Mbinga mimi niende Singida).kwa mwalimu aliyetayari anitafute kupitia 0788984980,0765070911 au [email protected]
 
Njoo mtwara (v)msimbati uwekeze nije mkuranga (sekondari) ukiwa tayari jieleze hapo chini
 
Kwa mwalimu idara ya msingi alie dodoma wilaya ya chamwino na anataka kuja mwanza wilaya ya sengerema ani PM.
 
Mimi ni mwalimu wilaya ya Mbinga natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi atoke mkoa wa Singida (yaani yeye aje mbinga mimi niende Singida.contacts 0788984980,0765070911.
 
Wadau heshima kwenu,kuna dogo yuko mpwapwa dodoma anahitaji kwenda Tanga jiji au muheza.mwenye interest ani PM nimuunganishe nae.
 
mimi matafuta mwalimu wa kubadilishana aliyoko mkoa wa singida aje wilaya ya mbinga.contact 0765070911
 
naomba process ulivofanya had hatua ya mwisho ikiwezekana naomba contact zako nisaidien jaman.ci2 tumefikia hatua ya kujibiwa na wakurugenz na kuandikiwa barua wote wawil kua kuna nafas lkn bada ya hapo hatua gan inafuata

hizo barua wote tumen kwa katibu mkuu tamisemi slp 1923 dodoma.
 
anayetaka kuhamia tunduru toka mbinga au songea. idara ya sekondari. 0682136570
 
Njoo Bunda ,mara nije Dodoma, arusha, singida au manyara nitafute 0785111722
 
Habar wana jf,mim ni mwalm wa secondary nipo wilay ya Moshi vijijn nataka enda Mbeya kat ya wilay hz rungwe,mbozi,mbey vjjn na kyela.#0752230738
 
Mimi ni mwalimu wa Sekondari kutoka wilaya ya Rungwe mkoa wa Mbeya natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi atoke mkoa wa Dar es salaam au Mkoa wa Pwani (wilaya ya kibaha mjini) yaani yeye aje Rungwe mimi niende Dar au Kibaha MjinI. Kwa mwalimu aliyetayari anitafute kupitia 0717 378462,0764 881684 au [email protected]
 
Njoo morogoro-gairo mkuu 0757021255
 
Mimi ni mwalimu kutoka wilaya ya Mbinga mkoa wa Ruvuma idara ya sekondari natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi kutoka mkoa wa Singida.kwa mawasiliano zaidi nitafute kupitia 0765070911.
 
Back
Top Bottom