njoo ngara
nipo manispaa ya mtwara idara sekondari nipo tayari kuhamia morogoro ama mkoa wa pwaniwewe ni mwalimu (msingi, sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?
Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.
Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na jamiiforums ni kwa pm (private messages) ndani ya jf - kwa usalama wako na usiri zaidi.
muhimu: ni vema kusema upo wapi na ungependa kwenda wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.
Tunakutakieni utumishi mwema.
Jamiiforums
Niko Singida, mwl yeyote aliye Magu, Busega Tarime na maeneo ya jirani tubadilishane..
Idara Sec..
Upo singida sehem gani
mimi ni mwalimu aliye bukoba vijijini karibu na manispaa- kuna maji,umeme na huduma zote muhimu nahitaji kubadilishana na mtu aliyeko:
1)mwanza-wilaya yyte ila sio ukerewe
2)Tabora-manspaa
3)morogoro-manispaa
4)singida-manispaa
0769027920
Nipo wilaya mpya ya Busega mkoani Simiyu, shule ipo barabara kuu iendayo Mwanza na Musoma pia kuna umeme na maji, ni mwalimu shule ya sekondari. Yeyote aliye kati ya maeneo ya Mwanza mjini, Morogoro mjini au Mbeya mjini na Ngara mjini mkoani Kagera ani PM!