WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Nipo kigoma mjini idara sec njoo mi niende tanga, dar, moro au dom ni call 0653846627
 
Mwalimu kalistus kisakali, shule ya msingi misufini b songea, anaomba kubadilishana na mwalimu toka halimashauri ya mji wa njombe.

Kama kuna mwalimu interested ni ''pm" ama mpigie kwa namba ifuatayo ;076333203 ama nipigie mimi 0766925042

asanteni
 
Mimi nipo kigoma mjin idara sec njoo mi nije tanga, moro, dar au dom mawasiliano 0653846627
 
Mimi ni mwl.ajira mpya,sijapata TSD,nimepata mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi,,,je inawezekana bila TSD?
 
Mwl-idara ya msingi yupo kahama-shinyanga anataka kwenda mbeya wilaya yoyote.wasiliana kwa namba 0753701808 0684555202
 
mimi ni mwalimu wa primary IKUNGI SING
IDA naomba mtu wa kubadilishana naye niende MBULU MANYARA PLS TUWASILIANE 0764759068,0768254262;0683421342.zawadi ni muhimu sana kupata.
 
Anayetaka KASULU kutoka
bukombe,kahama,geita,mwanza
,singida, babati korogwe,handen, arusha na dodoma idara ya sec
tuwacliane.
 
Mwal Ben Ngimbudz Yupo Maswa Elim Sec Anatafuta Wakubadlishana Kutoka Njombe/makete/iringa/mbeya/moro Kama Unahtaj Tuwasiliane Kwa 0752430195 Nikupe Namba Yake
 
Haya kwa mara nyingine tena Walimu wale wa IDARA ya MSINGI kutoka Halmashauri ya M/Songea, M/Njombe, Manispaa ya Mtwara na Mji Mdogo Makambako kwa wanaotokea mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Kagera, Geita, Tabora na Kigoma na anahitaji kuhamia Halmashauri ya wilaya ya karibu na kwao aje hapa Mbogwe. Kwa mawasiliano zaidi 0763053058. Bhabheja sana.

nko bukoba vijijin
0758033089
 
Mwl NGAO .Y.MTOO Idara ya Sekondari anaefanya kazi katika halmashauri ya wilaya ya NEWALA -MTWARA anatafuta mwl wa kubadilishana nae kituo cha kazi katika halmashauri zifuatazo;MUHEZA,TANGA JIJI,KOROGWE,BUMBULI,LUSHOTO au MKINGA.kwa aliye tayari nitafute katika mawasiliano ya namba zifuatazo
0783677207 AU 0767665619
 
Idara sec naomba kubadilishana kituo cha kaz kutoka Kondoa,babati mji,babatimanispaa,chemba yeye aje newala kwa mkuchika mawasiliano 0785965290,0717965290,0769165377
 
Back
Top Bottom