WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Niko singida idara ya msingi naomba mtu atakayekuja wilaya ya ikungi na mimi nije mbulu manyara kwa mawasiliano 0764759068@0683421342
 
Kama utataka njoo Tarime mjini nije Urambo karibu na kwetu 0768074472
 
Mwl. Idara sec. Dodoma anataka kwenda morogoro, pwani au Tanga
 
Anayetaka KASULU kutoka
bukombe,kahama,geita,mwanza
,singida, babati korogwe,handen, arusha
na dodoma idara ya sec
tuwacliane.
 
Mwalimu wa Sekondari uliyeko MUHEZA au TANGA JIJI na unahitaji kuhamia MKINGA kwa kubadilishana.
Piga au tuma msg:
0682930078
 
Njoo Ilala idala ya secondary mimi niende Kigoma wilaya yoyote, Rukwa wilaya, Singida wilaya yoyote au Mara
 
mimi ni mwalimu wa shule ya sekondari, katika halmashauri ya kilolo , iringa nataka kubadilishana kituo na mwalimu toka wilaya ya handeni tanga. kwa aliye tayari anitafete kwa 0753235211/0656959432/0685786929.
 
Back
Top Bottom