WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Njoo Songea (primary) nije Halmashauri ya mji wa Njombe 0763333203
 
nahitaji mwalimu idara ya sekondari wakubadilishana nae toka moro aje kisarawe mjini makaz pugu.piga 0657660585
 
Mwalimu idara ya msingi yupo sumbawanga anatafuta mtu wa kubadilishana nae kutoka shinyanga mawasiliano 0758945070
 
Mimi nipo morogoro -mikese secondary nahitaji kuhamia dar wilaya ya kinondon.. Tutafutane kwa no; 0753617960 au 0754642242
 
Mimi mwl idara ya sekondari nahitaji mwl wa kubadilishana nae aje Karagwe (kayanga) mi nije Morogoro,mawasiliano njoo pm
 
Natafuta mwl wa kubadilishana kituo cha kaz mi npo maswa idara ya sec. kutoka mwanza, singida mvomero, moro, DSM, MBY,
 
njoo kasulu idara ya sekondari mimi nije dodoma,singida,lindi,tanga,dsm,kilimanjaro,mwanza,arusha,babati.
 
Natafuta mwalimu wa kubadilishana nae. nipo LINDI- Ruangwa. Yeyote kutoka Dar, Moro- mjini, Tanga, Pwani anirafute kwenye 0684086635.
 
Jamani anayetaka kwenda Igunga na rafiki yangu arudi kwao Tanga..Idara ya sekondari..Ani Pm
 
Anayetaka KASULU kutoka
bukombe,kahama,geita,mwanza
,singida, babati morogoro,muheza,korogwe kilimanjaro na dodoma idara ya sec
tuwacliane.
 
Back
Top Bottom