WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

NJOO RUVUMA (NAMTUMBO) (SEKONDAR) Mie nije Wilaya yoyote za mikoa ya IRINGA, MOROGORO AU MBEYA
Sim 0766154595
0788325376
 
npo mufind sec nahtaj mwlm yyte ktoka moro wilaya yyte kasoro ulanga nchek 0714740140
 
Haya sasa kazi nia kwenu walimu nyumbani ni nyumbani mkataa kwao mtumwa. Anahitajika mwalimu wa kubadishana kituo cha kazi kutoka Mbeya mjini, Mbeya vijijini, Tukuyu, Busokelo, kyela,Iringa, Njombe, Morogoro, Iringa, kinondoni, chalinze, kibaha, kigamboni, manzese, mkuranga, Dodoma mjini, pwani,Tanga na Arusha kwenda Simiyu-Maswa idara secondari. Umeme upo na usafiri unapatikana. Wahi nafasi ni adimu. Kwa mwenye uhitaji anipm au anitext 0768885000. UPATAPO UJUMBE HUU MWAMBIE NA MWENZAKO MWENYE UHITAJI. NAKUTAKIA USHIRIKIANO MWEMA.

aje mufindi niende moro
 
njoo mwanza nije moro wilaya yeyote au pwani na dar wilaya yeyote,idara ya sekondari.0767292827
 
Nipo bukoba nje kdogo ya manspaa,idara sekondari,nataka mikoa ya mwanza,tabora,na singda...huduma zote zpo 0769027920
 
Niko halmashauri ya Wilaya ya Rorya idara ya Sekondari.Natafuta mwalimu wa kubadilishana naye kutoka mikoa ya Morogoro na Tabora.Mwalimu yeyote aliyeko mikoa hiyo anayehitaji kuja Rorya ani PM.
 
Njoo nasa sec ipo nyashiimo nusu saa kufka mwanza mjini mimi nije kibaha,kisarawe ama mkuranga.
Mawasiliano
0713007615
 
Back
Top Bottom