WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

jamani bado nauliza mtu wa kubadilishana anaetaka kwenda dodoma wilaya ya chamwino vijijini mimi nije dar es salaam.0652007890
 
Natafuta mwl wa kubadilishana nae kituo idara SEC aje ROMBO kutoka MKURANGA, BAGAMOYO, KIBAHA, RUFIJI AU DSM 0766738634
 
Nataduta wakubadilishana nae aje Kasulu niende ushrombo, geita,kahama,singida,babati au dodoma.idara ya sec pm Tafadhali
 
habar wana jf,kuna mdogo wngu anataka mtu wa kubadilshan nae kutoka wilaya ya NYASA kwenda RUNGWE,KYELA,MBOZ. 0752230738
 
anaitwa mwalim issa 0785965737 yupo singida anataka kwenda mtwara wilaya yeyote yuko idara ya sekondari.
 
Mwl yupo korogwe tanga anataka kwenda dom au moro manispaa, nicheki hapa nikuunganishe nae (secondary)
 
mimi nipo rombo ni mwalimu mwenye tsd number natafuta mwalimu atokae kibaha au morogoro yeye aje kilimanjaro-Rombo aliye tayali call me through ma phone 0714829862 at any time
 
natafuta mwl toka MKURANGA KIBAHA BAGAMOYO KISARAWE RUFIJI AU DSM aje ROMBO 0766738634
 
Mwalimu wa sekondari Anayetaka kuja mtwara mjini kutokea morogoro mjini tuwasiliane
 
Mimi ni mwalimu wilaya ya Mbinga idara ya sekondari natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi kutoka Manispaa ya Singida.kwa mawasiliana zaidi nichek 0765070911
 
Anayetaka KASULU kutoka bukombe,kahama,geita,mwanza
,singida, babati na dodoma idara ya sec tuwacliane.
 
Back
Top Bottom