WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Idara sec nipo ukerew _Mwanza nahitaji Mwl Wa kubadilisha kutoka mbeya, Iringa , morogoro na njombe.
 
Mwalimu wa kutoka Kyela anataka kuhamia Bagamoyo anitafute kupitia simu 0715744549 au ni PM tu.
 
Naitwa mwalim masam natafuta mwalimu SEC wa kubadilishana nae aje ROMBO mi niende MKURANGA, bagamoyo, RUFIJI, Kibaha au wilaya yoyote ya DSM
0766738634
 
Mw yupo dodoma bahi wilayani anatafuta mwl wa kubadilishana aliyepo muhez,handeni,korogwe idara msingi 0785443629
 
Msingi uje Pande Kilwa Lindi mimi nije Bagamoyo au Kibaha
0685733122
 
Mimi ni mwalimu nio Lindi Kilwa namtafuta mwalimu wa kubadilishana naye, akiwa Dar es salaam, Morogoro Manispaa, Mwanza Jiji au Kibaha manispaa no yangu ni 0682744536
 
Back
Top Bottom