WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Njoo kwenu lushoto tanga nirudi nyumban newala mtwaraa baridii hii ya huku ni kalii mnooo siiwezii no 0714994228/ 0688264401
 
Nina mdogo wangu anafanya kazi KATAVI MPANDA,anaomba mwl wa wa kubadilishana nae anaetoka wilaya yoyote ya mikoa ya morogoro,pwania,lindi na mtwara.ni idara ya elimu ya msingi.saidianeni ili mrudi karibu na kwenu.asanteni wakuu.
 
Rafiki angu ni mwalimu yuko mkoa wa simiyu wilaya ya itilima. Natafuta mwalimu wa kubadilishana nae yeye aje mko wa simiyu mimi niende mkoa wa dsm au pwani Wilaya temeke,muranga na kibaha.
 
Issa nani ama mm wa 0762080829 natafuta wa kuja uyui tabora niende tanga handen,koro,jiji ama muhezq
 
Nipo moshi marangu natafuta mwalimu wa kubadilishana naye kutoka mwanza ilemela ,nyamagana au misungwi idara ya sec
 
Jamani ina maana hakuna wazawa wa mtwara? au ndo hampataki kwenu? nataka kwenda mkoa wwt wa kaskazini njoo mtwara newala. niPM
MI NAHITAJI KUJA NYUMBANI MTWARA NEWALA TUWASILIANE HAPA FIRST BORN 0714994228 / 0688264401 NIPO PRIMARY WE IDARA GANIII....!!!?

niko sec mkuu
 
Mwalimu wa Sekondari uliyeko MUHEZA au TANGA JIJI na unahitaji kuhamia MKINGA kwa kubadilishana.
Piga au tuma msg:
0682930078
 
Back
Top Bottom