Nipo wilaya ya Mwanga, Kilimanjaro idara ya sekondari. Nahitaji kubadilishana na mwalimu kutoka Bagamoyo, Kibaha au Dar es salaam. Kwa mwenye uhitaji ani PM tuwasiliane
Nenda Chato Mjini mdogo wangu aje Morogoro Manispaa, Dodoma Manispaa au Kibaha. Chato ni ziwani, barabara nzuri za rami mpaka vichakani, samaki wengi mno na bei rahisi sana. Umeme 24 hrs. Karibu ni_pm nikuunganishe nae.
Mi nipo lushoto idara primary ninahitaji wakubadikishana nae alieoko wilaya ya newala tafadhali nina miaka minne kazini anitafute kwa namba hizii 0714994228/ 0688264401
Jamani ina maana hakuna wazawa wa mtwara? au ndo hampataki kwenu? nataka kwenda mkoa wwt wa kaskazini njoo mtwara newala. niPM
MI NAHITAJI KUJA NYUMBANI MTWARA NEWALA TUWASILIANE HAPA FIRST BORN 0714994228 / 0688264401 NIPO PRIMARY WE IDARA GANIII....!!!?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.