Mimi mwalm katka mkoa wa Mwanza idara ya sec. wilaya ukerewe natafuta wa kubadilishana nae wilaya yoyote Manyara,Dodoma, Arusha na kilimanjaro. Cm no. 0757529848
Mimi mwalm katka mkoa wa Mwanza idara ya sec. wilaya ukerewe natafuta wa kubadilishana nae wilaya yoyote Manyara,Dodoma, Arusha na kilimanjaro. Call me 0757529848
Mambo vp wana JF?,
mi ni mwalimu, idara ya sekondari, nipo ktk mkoa wa pwani-sehem mmoja inaitwa ikwiriri(rufiji), nahitaj mwl. Wa kubadilishana naye, awe anatoka KAHAMA MJI au SHINYANGA MANISPAA.
Asanteni.
(Mwalimu)
Mwl yupo kishapu-shinyanga idara ya sekondari, anatafuta mwl wa kubadilishana naye atoke wilaya hizi
.Chato
.Bukombe
.Geita
Aliye tayari afanye mawasiliano kwa no 0755289666
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.