WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Nipo karatu waku nataka niende korogwe au babati fasta nione kwa apa 0788628489
 
njoo newala mtwara idara sec,nije korogwe,lushoto,bumbuli,kilindi,muheza,handeni,rufiji,bagamoyo na mkuranga.0714566522
 
Njoo Mbinga Ruvuma nije manispaa ya Singida idara ya sekondar.nichek 0765070911
 
Njoo Magu-Mwanza nije Mtwara mjini, Dar es salaam, Ikwiriri 0752796133. Shule niliyopo ina nyumbz za Waalimu, Maji pia ipo Pembezoni mwa Barabara kuu iendayo Mwanza mjini na Musoma.
 
Wale wa tanga manyara vp nichekini kwa apa.0788628489karatu mje majemeni
 
Niko iringa-kilolo elimu sekondari, nataka kuja morogoro, dodoma, pwani na dar es salaam. Karibu PM.
 
Mwalimu wa Sekondari uliyeko MUHEZA au TANGA JIJI na unahitaji kuhamia MKINGA kwa kubadilishana.
Piga au tuma msg:
0682930078
 
Back
Top Bottom