WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

first born:bunda unapataka kuna mwalimu kwao ni mtwara anatafuta hiyo nafasi
 
nipo songea manispaa idara sekondari,nataka kuja moro mjini,kibaha au dar,0713715772 text or call
 
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?

Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.

MUHIMU:
Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.

Tunakutakieni utumishi mwema.

JamiiForums
Kuna nafasi ya mwalimu wa sekondari yuko lushoto tanga anatafuta mtu wa kubadilishana nae
mkoa wa arusha au kilimanjaro, Na kuna nafasi nyingine ya mwalimu yuko mtwara vijijini anatafuta mwalimu wa kubadilishana nae mkoa wa arusha au kilimanjaro
NOTE: Wote wamethibitishwa na wana TDS namba kwa aliye tayari ani PM tafadhali.
 
Nipo Mwanga, Kilimanjaro idara ya sekondari. Nahitaji kunadilishana na Mwalimu kutoka Bagamoyo, Kibaha au Dar es salaam.
 
Nyie walimu hebu tulieni ndio maana watoto wetu wanafeli kwa sababu mawazo yenu ni kubadilishana vituo tu
 
Nipo idara ya sekondari, halmashauri ya wilaya ya rufiji(ikwiriri) mkoa wa pwani, nataka kurudi home, KAHAMA MJI, kama upo tayari ni Pm ili twende sawa,

KAZI NJEMA.
 
Waungwana nipo Uyui Tabora km2 kufika wilayani na km 18 Tabora town. Nipo idara ya msingi.Nina miaka 6 kazini.Aliyeko wilaya za korogwe halmashaur ya mji,moro manispaa,chalinze town,handeni anistue tuweke mambo sawa.Nicheki kwa 0762080829/0785443629
 
Back
Top Bottom