the ultimatum
JF-Expert Member
- Dec 16, 2012
- 420
- 143
naomba no yako mi nnahitaji hiyo nafasi.
Tumia Private Message (PM) nakutumia namba huko tuwasiliane
naomba no yako mi nnahitaji hiyo nafasi.
Njooo wilaya ya mufindi iringa nije songea mjini au wilaya ya mbinga mjin idara ya sec 0767734214
niko shinyanga nataka kuhamia mwanza mwalimu anayeitaji kuhamia shinyanga naomba tuwasiliane
Niko tanga kilindi kama kuna anehitaji kuja huku kutoka moro, mtwara, manyara, dodoma, lindi na pwani ani pm
Mmmm kila nikiangali comments nyingi hamna wa kwenda Mtwara na Lindi inakuweje wajameni?
mwl shule ya msingi natafuta mwalimu wa kubadilishana mimi nije tabora kutoka kyerwa