Yohana wilson
Member
- Jan 8, 2014
- 8
- 0
mwl shule ya msingi natafuta mwalimu wa kubadilishana mimi nije tabora kutoka kyerwa
Primary or Secondary School Teacher?
Mimi ni mwalimu niko mkoa wa Arusha wilaya ya monduli. Natafuta mwalimu wa kubadilishana nae yeye aje mko wa Arusha mimi niende mkoa wa Kilimanjaro Wilaya yoyote.
Nani tubadilishane. Niko dar ilala mjini.
Binas@ tangazo lako alieleweki,uko arusha unaitaji kwenda wapi??je ww au unae mtolea tangazo ni mwl msingi au sec?if possible tuwasiliane kwa NO.0712872378
Mwalimu aliye mbeya jiji au rungwe aje korogwe mji tanga