WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Mwl.Deogras Kivike nipo idara ya sekondari Muleba,natafuta Mel wa kubadilidhana kati ya Mbeya jiji,Dodoma,Iringa au Mori nitafute kwa namba 0753805117,0658051172 thanx.
 
Mwl wa sec yupo bunda anaitaji wakubadilishana nae kutoka arusha au kilimanjaro wilaya yeyote.plz tuwasiliane kupitia 0712872378
 
Mwl msingi kutoka shinyanga kishapu,anaitaji kubadili kituo cha kazi kwenda wilaya yeyote arusha au kilimanjaro,wasiliana nae kwa 0712872378
 
Kwa mwalimu yoyote anayetaka kuhamia halmashauri ya Kasulu mkoa wa Kigoma tuwasiliane kupitia simu namba 0714963829,0768183143 na 0786375069.KARIBUNI KASULU.
 
kuna nini mpaka nikuone wewe? una cheo gani kwa wilaya ya KASULU? weka tangazo lako vizuri! au unataka nikukopee fedha zangu za uhamisho?
 
Njoo Tanga mimi nije Morogoro,Pwani,Kibaha,Bagamoyo,Iringa,Njombe na Chalinze.
Nicheki kwa namba 0768142527 au 0712954840
 
Jamani wa kubadilishana naye aende Kilwa masoko. Ndugu yangu aende kibaha, mkuranga au bagamoyo aniPM.

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Karibu wilaya ya Kasulu mkoa wa kigoma kwa mwalimu anayehitaji kuamia wilaya hii,idara ya sekondari tuwasiliane kwa namba hizi 0714963829,0768183143 na 0786375069.KARIBUNI KASULU
 
Jaman anatafutwa mwalimu wa kuja Arusha jiji tuwasiliane hapa 0764586674 kwa anaehitaji.
 
Jaman anatafutwa mwalimu wa kuja Arusha jiji tuwasiliane hapa 0764586674 kwa anaehitaji.

Binas@ tangazo lako alieleweki,uko arusha unaitaji kwenda wapi??je ww au unae mtolea tangazo ni mwl msingi au sec?if possible tuwasiliane kwa NO.0712872378
 
Mimi ni mwalimu idara ya elimu msingi nafanya kazi katesh wilaya ya hanang' manyara.natafuta mwalimu wa kubadilishana naye kituo cha kazi kutoka kilombero morogoro.kwa mawasiliano zaidi piga no:0686 38 71 32 au 0685309032
 
Mimi ni mwalimu idara ya elimu msingi katesh wilaya ya hanang' mkoa wa manyara.natafuta mwalimu wa kubadilishana naye kituo cha kazi kutoka kilombero morogoro.kwa mawasiliano piga no.0686387132
 
Mimi ni mwalimu idara ya elimu msingi. Katesh wilaya hanang' manyara.natafuta mwalimu wa kubadilishana naye kituo cha kazi kutoka kilombero morogoro.kwa mawasiliano piga na 0686387132
 
Back
Top Bottom