WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Mwl ASHA YUPO MANISPAA YA TABORA ANATAFUTA Mwl WA KUBADILISHANA NAE KUTOKA DAR MASPAA YOYOTE idara SEC na0756231236 au 0766953956.
 
Wadogo zangu wanatafuta mtu wa kubadilishana nae. 1:from CHATO TOWN to MOROGORO TOWN (Secondary) 2:from KASULU TOWN -KIGOMA to MOROGORO TOWN(Primary). Mawasiliano ni:0764264315
 
Report Post
Tanzanite klm 19:43 6th February 2014
nipo karatu mjini.idara ya secondari natafuta wa kubadilishana naye kutoka meru au arusha jiji
anicheki 0753816466
 
Jaman walimu wa MOROGORO MANISPAA (sec) njooni CHATO MJINI kwa MAGUFULI! ni Ziwani, samaki wanapatkana kwa wingi sana na kwa bei nafuu.0764264315.
 
ndgu zangu waalim, aliyetayari aje nachingwea idara ya sec, zawadi nono itatolewa kwa yeyote atakae saidia kupatika kwa mwl wa kuja nachingwea. Pia mwl huyo atapata pia.
 
Mimi mwl. Nafanya kazi halmashauri ya Kyerwa-KAGERA. Natafuta mwl wa kubadilishana nae kutoka halmashauri za, Wanging'ombe, Njombe, Mji mdogo Makambako, au Mbeya. Contact: 0766742573/0683364141, au e-mail @ [email protected]
 
Mwl IDARA (sec) NIPO HALIMASHAURI YA WILAYA YA ARUSHA, NATAFUTA MWL WA KUBADILISHANA NAE KUTOKA wilaya ya NYAMAGANA au ILEMELA-MWANZA kwa aliye tayari anitafute kwa na 0756231236 au 0752520817.
 
NAITWA GEOPHREY MWL IDARA (sec) NIPO KAGERA-NGARA NAHITAJI KWENDA MKOA WA MBEYA POPOTE na 0756231236 au 0764717872
 
hellow, wana jf, mimi ni mwalimu wa shule ya sekondari ktk halmashauri ya wilaya ya arusha natafuta mwl wa kubadilishana nae kituo cha kazi, aje halmashauri ya wilaya ya arusha na mimi niende nyamagana/ilemela-MWANZA.kaw aliyeko tayari tuwasiliane kwa namba zifuatazo 0752520817 au 0787187774.
 
Naitwa mwalim MSAFIRI idara y sekondar natafuta mwalimu w kbadlshana nae m npo MULEBA KAGERA ila kwa aliye TANGA,DOM,MORO ama DAR tu,kwa mawasiliano zaidi ntafute kptia email hii [email protected] au simu no 0769904075/0686913088!!!!!!!!!!!
 
Kwa mwalimu yeyote anayetaka kuja muleba anicheki lakini awe wa dar,mwanza,kilimanjalo, arusha au bukoba manispalau maeneo jirani na mikoa tajwa. [email protected] idala sekondali o683759141
 
Watson Onesmo mwl idara ya m/s nipo Kagera wilaya ya mleba natafuta mtu kubadilishana nae kwenda Morogoro au Dar na Morogoro wilaya yoyote name tuwasiliane kupitia 0752766420au0719333353!!!!
 
Kwa mwalimu shule ya msingi anaetaka kubadilisha kutoka Ilemela kwenda Ukerewe mjini mwisho wa lami,umeme upo shule niliopo,kwa atakae hitaji tumia email hii ([email protected]) au call me 0687818616
 
Kwa mwalimu shule ya msingi anaetaka kubadilishana kutoka Ilemela kwenda Ukerewe mjini mwisho wa lami,umeme upo shule niliopo,kwa atakae hitaji tumia email hii ([email protected]) au call me 0769827572
 
Naitwa mwl MSAFIRI nahtaj mwalm w kbadlshana nae idara y sekondar m npo MULEBA KAGERA nahtaj aliye TANGA,DOM,MORO ama DAR kwa mawasiliano zaid pga no 0713330945/0769904075/0688913088!!!!
 
Back
Top Bottom