WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Tuliza munkari mwal. subiri sisi tuajiriwe hapo ukitoa mawazo ya kubadilishana itakuwa haraka kumpata mwl. lakin kwa sasa kama itakuwa ngumu kidogo. wee subir GVT c wanatubabaisha watakapoyatoa hapo utaona utakavyowapata walimu wengi wa kubadilishana
 
Mwalimu yoyote wasekondari anayetaka kuhamia wilaya ya Kasulu mkoa wa Kigoma tuwasiliane kwa namba hizi 0714963829,0768183143 na 0786375069.KARIBUNI KASULU.
 
Mimi ni mwalimu wa sekondari niko wilaya ya Kasulu mkoa wa Kigoma mwalimu yoyote anayetaka kuhamia wilaya ya Kasulu tuwasiliane #0714963829 ,0768183143 na 0786375069.KARIBUNI KASULU.
 
Kama mtoa mada nae ni mwalimu, basi nawaonea huruma sana hao watoto anaowafundisha.
 
Nipo idara ya msingi Sikonge Tabora natafuta mwl. wa kubadilishana nae aje Sikonge niende Ilala au k'ndoni Dsm! na mdogo wangu anatafuta mtu wa kubadilishana nae yupo Geita anataka kwenda Ilala Dsm! Kama umeguswa tuwasiliane
0784 988977 au
[email protected]
 
MWL anayetaka kuja mtwara mimi niende sumbawanga! idara ya elimu sekondari,tuwasiliane kwa 0785149393
 
MWL wa sekondari anayetaka kuja Mtwara Mimi niende Sumbawanga,tuwasiliane 0785149393
 
mwl wa sekondari anayetaka kuja mtwara Mimi nijje Rukwa wilaya yoyote,,0785149393
 
Mwalim secondary anayetaka kuhamia halmashauri ya mji korogwe- tanga kutoka halmashauri ya wilaya ngara -kagera tubadilishane,
0755043328
 
Anatafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi, kwa sasa huyu mdada yupo arusha anataka kurudi dar.

Kama kuna mwalimu mwenzake anataka kuhamia arusha amtafute huyu mdada.

0764216238/ 0718809497

Namba za muhusika hizo hapo, mpigie kwa maswali zaidi.
 
Anatafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi, kwa sasa huyu mdada yupo arusha anataka kurudi dar.

Kama kuna mwalimu mwenzake anataka kuhamia arusha amtafute huyu mdada.

0764216238/ 0718809497

Namba za muhusika hizo hapo, mpigie kwa maswali zaidi.


Primary or Secondary School Teacher?
 
Back
Top Bottom