WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Nyie ni wachangiaji au waanzisha mada juu ya mada.
Mjibuni mwenzenu kwanza.
Sasa wewe #kibama ,nani umtoe kibaha umpeleke makongorosi-chunya?
 
Me niko dar natafuta mtu aliyeko sumbawanga,mawasliano yangu ni p.o.box 24-ubungo dar.
 
Chuyên bán tôn PU, tôn 3 lớp 2 mặt, tôn 2 lớp 1 mặt, vách ngăn, mái tôn, thi công mái tôn, hãy đến dvn.vn để có giá tốt nhất. Gọi cho chúng tôi ngay khi bạn muốn mua sản phẩm mái tôn.

Phụ trách kinh doanh: 0976248292 Mrs Thủy

ΠΠΠΠΠΠΠΠΠΠΠΠΠΠΠΠΠΠΠΠΠΠΠΠΠΠΠΠΠΠΠΠΠΠΠΠΠΠ
ΠΠΠΠΠΠΠΠΠΠΠΠΠΠΠΠΠΠΠΠΠΠΠΠΠΠΠΠΠΠΠΠΠΠΠΠΠΠ
 
Mimi ni mwalimu wa Sekondari katika Wilaya ya Serengeti, Mkoa wa Mara.
Nahitaji mwalimu wa kubadilishana toka katika mikoa ya Iringa, Mbeya, Morogoro, Pwani, Dodoma au Singida.
Aliye tayari aniPM au tuwasiliane kwa namba 0754621121.
 
Mimi ni mwalimu wa Sekondari katika Wilaya ya Karagwe, mkoa wa Kagera.
Nahitaji mwalimu wa kubadilishana naye toka Mikoa ya Iringa, Mbeya, Morogoro, Pwani, Dodoma au Singida. Kwa aliye katika Mikoa hiyo na Yupo tayari kuhamia Karagwe aniPM au anipigie kwa namba 0757644877.
 
Ndugu mwalimu wa sekondari unayetaka kuja wilaya Kasulu mjini mkoa wa Kigoma tuwasiliana tufanye mchakato wakubadilishana kituo cha kazi,tuwasiliane #0714963829 au 0768183143
 
Jaman nahitaji mtu wa kubadilishana nae kituo cha kazi ya ualimu wa sekondari aje Mtwara! Kwa aliye Rukwa, Mbeya au katavi,
Tuwasiliane via 0785149393
 
Duh! Pole mkuu omba mungu unaweza pata wa kubadilishana nae! Kwan kubaya huko?
 
Mwl nipo Newala-Mtwara (sec)nafuta mwl wa kubadilishana nae toka mikoa ifuatayo:
TANGA,PWANI,KMANJARO,ARUSHA NA MORO TOWN,Tuwasiliane simu no. 0714566522/0759313494
 
Natafuta mwalimu wa sekondari kutoka babati nibadilishane naye aje kasulu mjini niende babati mjini
 
Natafuta mwalimu wa sekondari kutoka kahama nibadilishane naye aje kasulu mjini niende kahama mjini au morogoro mjin,wilaya ya ifakara maeneo ya turian yeye aje kasulu mjin tuwasiliane 0713335756 au 0756729922
 
Mwalimu wa secondari anayetaka tubadilishane kutoka halmashauri ya mji kahama, mimi niko halmashauri ya mji korogwe- tanga. Piga 0682443333
 
Mwalimu wa secondari anayefundishia Kibaha na anataka kuhamia Kilimanjaro tuwasiliane kwa 0689551884. Mimi nafundisha masomo ya Maths, Geography na Commerce.
 
Mwalimu wa secondari anayefundishia Kibaha na anataka kuhamia Kilimanjaro tuwasiliane kwa 0689551884. Mimi nafundisha masomo ya Maths, Geography na Commerce.
 
Mwalimu wa secondari anayefundishia Kibaha na anataka kuhamia Kilimanjaro tuwasiliane kwa 0689551884. Mimi nafundisha masomo ya Maths, Geography na Commerce.
 
Kwa anayehitaji kuja musoma mjini atokee Dodoma mjini au morogoro mjini idara secondary!

Mwalimu wa secondari anayefundisha Kibaha na anataka kuhamia Kilimanjaro tuwasiliane kwa 0689551884. Mimi nafundisha masomo ya Maths, Geography na Commerce.
 
Back
Top Bottom