Mwl nipo Newala-Mtwara (sec)nafuta mwl wa kubadilishana nae toka mikoa ifuatayo:
TANGA,PWANI,KMANJARO,ARUSHA NA MORO TOWN,Tuwasiliane simu no. 0714566522/0759313494
Kwa anayehitaji kuja musoma mjini atokee Dodoma mjini au morogoro mjini idara secondary!
Mwalimu wa secondari anayefundisha Kibaha na anataka kuhamia Kilimanjaro tuwasiliane kwa 0689551884. Mimi nafundisha masomo ya Maths, Geography na Commerce.