Mwalimu wa sekondari anayetaka tubadilishane kituo cha kazi mm niko wilaya ya KASULU aliyeko mikoa ifuatayo SINGIDA,DODOMA,MOROGORO,DAR ES SALAMU,TANGA na KILIMANJARO.Tuwasiliane kupia #0714963829 au 0768183143
Ajira za ualimu TAR 01.04.2014
Mkuu me ni mwl ngazi ya shahada niko DAR halimashauri ya kinondoni (Ukwamani sec.) KAWE. Je mke wako alishawahi kuishi mjini tangia amezaliwa? Maana kama hajawahi kuishi mjini wowote hawezi kuanzia DAR. Me nko tayari kubadilishana nae kama utampeleka semina fupi ya miezi 6 jinsi ya kuishi mjini ndo tuanze process za uhamisho ok.