WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Mwl aliyeko HALMASHAUR YA WILAYA busokelo-tukuyu (idara msing) na anataka kuja mbinga-songea. Call 0757021255
 
Kijana perry unamawazo ya utindio wa ubongo.usichangie mada za intellectuls tunakuona kama unamaneno ya mlevi mwenye kujiendea haja kubwa.watu wapo kazin
 
Mimi ni mwalim wa shule ya msingi wilaya bukombe nataka kubadilishana na Mwl toka wilaya ya sengerema namba yangu ni 0783722292
 
mimi ni mwalimu wa sekondari wilaya ya Iramba nataka kubadilishana na mwalimu kutoka manispaa ya Singida.
 
Mwl LEMA yupo MBEA idara (msingi) anahitaji mwl wa kubadilishana nae kutoka eidha ARUSHA,MOSHI AU BABATI na 0756231236,0768615489 au 0756607217.
 
:flypig:Mimi mwl wa sekondadi wilaya ya kasulu mjini natafuta mwl wakubadilishana naye aje kasulu niende aitha korogwe mji, kibaha mjini, babati,moro mji au kahama.Tuwasiliane 0756729922 au 0713335756:israel:
 
Mwalimu wa sekondari anayetaka kuja Ngara kagera atoke wilaya yoyote ya mkoa wa morogoro,iringa,mbeya ,njombe,ruvuma (kasoro tunduru) tuwasiliane kwa 0656317835
 
Mwl aje mara serengeti,serenget sec mm niende moro au iringa cont:0713434286
 
mwl aje kwimba-sumve mwanza mi niende misungwi au mwanza jijin 2wacliane kwa pm
 
Mwl npo Muleba KAGERA nahtaj mtu w kbadlahan nae idara y sec m niende Tanga,Dom,Moro au dar kwa mawaxliano pga no 0713330945/0769904075/0686913088,ansante!
 
Mwl npo Muleba KAGERA nahtaj mtu w kbadlahan nae idara y sec m niende Tanga,Dom,Moro au dar kwa mawaxliano pga no 0713330945/0769904075/0686913088,ahsante!
 
naitwa mwl. Numani Abdallah idara ya sec. nipo Newala(Mtwara). Nahitaji mtu wa kubadilishana kituo cha kazi kutoka Halmashauri za Mkuranga, Bagamoyo, Kibaha au Dar manispaa yeyote. Namba za sim 0757267799
 
Mwl aje mara serengeti,serenget sec,mm nije moro au iringa 4n me via 0713434286
 
Mimi ni mwalimu idara ya Sekondari, nipo wilaya ya Mwanga, Kilimanjaro. Nahitaji kubadilishana na mwalimu kutoka wilaya ya Bagamoyo au Dar es salaam. Mwenye uhitaji ani PM namba yake
 
weka namba ya cm .Tafadhari naomba msaada kwenu wa kunitangazia tamgazo langu mimi nipo MANISPAA YA MTWARA Idara (secodary) natafuta mwl.wa kubadilishana kutoka Manispaa yoyote ya jiji la Dar es salam ama morogoro namb 0713 457989
 
Mwalimu wa sekondari anayetaka tubadilishane kituo cha kazi mm niko wilaya ya KASULU aliyeko mikoa ifuatayo SINGIDA,DODOMA,MOROGORO,DAR ES SALAMU,TANGA na KILIMANJARO.Tuwasiliane kupia #0714963829 au 0768183143
 
Jamani njoeni Chunya mjini full madhahabu madini n.k Nije mkuranga, kibaha, bagamoyo au kisarawe! Secondary niPM kwa maelezo zaid!
 
Back
Top Bottom