YUSUPH SHEKILINDI
JF-Expert Member
- Aug 7, 2013
- 230
- 4
Mwl HARUNA Yupo SHINYANGA (v) idara (msingi) Anatafuta mwl wa kubadilishana nae kutoka DODOMA au MOROGORO no 0756231236 au 0782643429 au 0753073577.
nipo moshi nataka kuja dar au do town,plz contact me!!!¥iramba ye2 hii town ucwe na dharau dogo
kuna jamaa yangu yupo dodoma mjini ukitaka nikuunganishe naye
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?
Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.
Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.
MUHIMU: Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.
Tunakutakieni utumishi mwema.
JamiiForums
Uko sek au primary
Uko sek au primary
mawasiliano ?