WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Mwalimu wa sekondari nipo wilaya ya Kasulu natafuta mwalimu wakubadilishanaye kituo cha kazi kwaambanye anayependa kufanya kazi Kasulu tuwasiliane #0714963829 au 0768183143.
 
WADAU TUSIKATE TAMAA WALIMU WA KUBADILISHANA WAPO WENGI SANA TATIZO WENGI HAWAJUI NAMNA YA KU2MIA MTANDAO WANANG'ANG'ANA NA KUWEKA MIBANGO HALIMASHAURI WE KAMA HAUWEZI KUWEKA TANGAZO JF WALIMU WENZENU TUPO TUTAWASAIDIA NA MIMI NI MMOJAWAPO KATI YA WALIMU WALIOFANIKIWA KUPITIA JF! Na KWA SASA NIPO MAPUNZIKONI NIMETOKA RUVUMA MBINGA NIMEHAMIA TANGA KILINDI tumia namba hii 0756231236 au 0689270867 nitakusaidia kama eidha unataka kuweka tangazo na hujui au kama haujui utaratibu wa kuhama ulivyo nitafute.
 
Kwa mwalimu wa sekondari aliyeko Arusha au Kilimanjaro na anataka kurudi kwao Singida wilaya ya Iramba tuwasiliane kwa kuni PM
 
Wadau nipo NEWALA-MTWARA idara sekondari natafuta mwalimu wa kubadilishana nae toka mikoa ya TANGA,KLMANJARO,PWANI NA ARUSHA.Mawasiliano 0714566522/0759313494
 
MWL ALIYE MBEYA JIJI AU WILAYA YA RUNGWE TUBADILISHANE AJE WILAYA YA KOROGWE MJI (TANGA).

Cont:-0752588522
 
Niko, Iramba-Singida atafuta wa kubadilishana nae atoke Mkoa wa Geita. 0787140013 au 0763436287
 
Mwl sec anayetaka kwenda wilaya ya MAGU kutoka MBEYA wilaya yoyote except (CHUNYA na ILEJE), AU SONGEA MANISPAA, nipigie/nibp/nitext kwny 0764122433/0714672275Tufanye fasta kubadilishana
 
njoo MULEBA nije kanda ya kati au ukanda wa pwani au hatA kaskazini sio mbaya.nicheki sasa 0714480241 ( sekondari tu)
 
Mwl sec anayetaka kwenda wilaya ya MAGU kutoka MBEYA wilaya yoyote except (CHUNYA na ILEJE), AU SONGEA MANISPAA, nipigie/nibp/nitext kwny 0764122433/0714672275Tufanye fasta kubadilishana

Mkuu Naomba Uniunipe Na Ya Jamaa Wa Rungwe To Songea Uliwah Kunambia Ungeniunganisha.
 
Back
Top Bottom