WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Nipo kasulu mjin wakutoka mwnza,singida mjin,babati mji,dodoma mjini,korogwe mjin hata kahama mjin nichek 0756729922/0713335756
 
Nipo Ngara natafuta mwalimu secondari tubadilishane naye atoke mbeya, njombe,iringa moro na ruvuma
 
Nipo ngara idara ya secondari nataka kwenda njombe,iringa na wilaya zake,mbeya popote,ludewa au morogoro aliyetayari 0656317835
 
Natafuta wa kubadilishana aje halmashauli ya wilaya geita mm nataka kurudi kwetu njombe.
 
Natafuta wa kubadilishana aje halmashauri ya geita mm nije njombe. Cal me 0762315784,0652031005 and 0682785674
 
mm mwl 'sekondari.natafuta wa lubadirishana aje geita mm niende makete,njombe,ludewa,wanging'ombe au iringa.
 
Mwl Aliye Mbeya Jiji Au Rungwe Idara Ya Sekondari Tubadilishane Vituo Vya Kazi Aje Halmashauri Ya Mji Korogwe (TANGA)

(0752588522)
 
Mwl wa sec wa masasi mji anataka kwenda mboz,mbeya mji au wlaya,mafinga,mbaral.
KWA ALIETAYARI AWEZA FANYA MAULIZO KWA 0783040506 0757211281.
 
wewe ni mwl wa msing? ungependa kuhamia wlaya ya newala ukitokea ilej,chunya,kyela,wangng,ombe,njombe na mbalali.
usibabaike, tumia namba 076214290.
 
Nahitaji Mwalimu wa kubadilishana kituo cha kazi Idara S/M niko Bukoba Vjjn , aliyoko SINGIDA ,TABORA,SHINYANGA ,MANYARA tuwasiliane 0758033089.
 
Back
Top Bottom