Dumelang
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 3,274
- 5,938
Nipo kinondoni natafuta wa kubadilishana nae toka moro mjini, gairo au muheza! Nicheki kupitia [email protected]
Kilosa vip hutaki?
Nipo kinondoni natafuta wa kubadilishana nae toka moro mjini, gairo au muheza! Nicheki kupitia [email protected]
Mpigie namba hizi muongee. 0755288142 ikiwa alimpata nakushauri kaweke tangazo hukohuko utafanikiwa, mim nilifanya ivo nilimpata na tumeanza mchakato.
Mpigie namba hizi muongee. 0755288142 ikiwa alimpata nakushauri kaweke tangazo hukohuko utafanikiwa, mim nilifanya ivo nilimpata na tumeanza mchakato.
Anasema Hajawah Kuwa Na Idea Ya Kuhama. Anyway Ntaenda Kuweka Tangazo Kulekule Km Ulivyonishaur
MWL ALIYE MBEYA JIJI AU WILAYA YA RUNGWE TUBADILISHANE AJE WILAYA YA KOROGWE MJI (TANGA).
Cont:-0752588522
nadhani hii yote ni kwa sababu ya changamoto za walimu. maisha sio.. serekali haitujali hadi tunachagua pa kufanyia kazi. mi niko mbeya nataka kwenda songea je yupo wa kubadilishana nae jamani?