YUSUPH SHEKILINDI
JF-Expert Member
- Aug 7, 2013
- 230
- 4
Mwl YUPO ARUSHA HALIMASHAURI ANATAKA KUHAMIA ILEMELA-mwanza idara sec na075623126 au 0752520817
Weka Mawasiliano Nko Moro GairoNipo Tinde sec njia panda ya kahama na mwanza nataka kuhamia moro au dodoma kwa yeyote ambaye yupo tayari tuwasiliane
Wanajamvi asalam
mchumba angu ni mwl.alishafanya njia halali za kuhama lkn mkurugenz anamuwekea ngumu yaan vikwazo vingi
nimemwambia mchumba aache kwenda ofsin kwake
naomben ushaur njia gan rahis ya kumtoa mwandani wangu kule kigoma wilaya ya kasulu? Ili aje dodoma,arusha,singida au morogoro
napata ugumu kuifata papuch kila mara kwan ni gharama sana kwenda kigoma
nisaidien wataalamu,,kwa atakayefaniksha kuna zawad
Muleba sehemu gani?we byanjweri mi nko muleba nataka kwenda mwanza fanya tubadilishane au unataka sana manispaa
we byanjweri mi nko muleba nataka kwenda mwanza fanya tubadilishane au unataka sana manispaa
Mie nipo mby nataka kuja moro,km vp 2badilishane
vp wadau. kwa mwl yeyote secondari anaetaka kuhamia Tukuyu Mbeya mi nije Dar ani pm. shule ipo pazuri. sababu kuu ya mm kuhama ni kumfuata wife