Azidiher Jumanne
Member
- Feb 23, 2014
- 36
- 0
Mwl wa shule ya msingi nipo wilaya ya Meatu mkoa wa Simiyu natafta mtu wakubadilishana nae aje meatu then m niende Muleba au Bukoba, kwa mawasiliano 0765167852
nko bukoba vijijini vp
Mwl wa shule ya msingi nipo wilaya ya Meatu mkoa wa Simiyu natafta mtu wakubadilishana nae aje meatu then m niende Muleba au Bukoba, kwa mawasiliano 0765167852
nko bukoba vijijini vp
weka namba itakuwa rahisi kuwasiliana nayeJe Ww ni Mwl Upo Rungwe-busokelo (msingi) Unataka Kuja Ruvuma Mbinga? Andika hapa chini
thomas kipungu yupo manyoni singida ni mwalimu secondary anahitaji kurudi sumbawanga kwa mawasiliano piga 0753868912
mwalimu wa sekondari wa kubadilishana kutoka mikoa yoyote ya tanzania isipokuwa ya kusini aje wilaya ya kilwa. Mawasiliano 0652040227.
mimi nipo kinondoni dsm nataka kuhamia mtwara,songea au lindi pamoja na iringa au mbeya