Musoma manispaa vp utataka? Au kama kuna mtu kutoka huko anataka kuja huku unipmMwalimu wa sekondari yuko morogoro(mvomero) anataka kubadilishana na mwalimu aliyeko singida(manispaa) kama upo tayari ni pm....
Hebu njoo manispaa ya Musoma mi nije huko wilaya ya Mvomero kama uko tayari unipm tuanze mchakato TamisemiMwalimu wa sekondari yuko morogoro(mvomero) anataka kubadilishana na mwalimu aliyeko singida(manispaa) kama upo tayari ni pm....
Kilosa vip hutaki?
wewe ni mwalimu wa secondary?
Kilosa vip hutaki?
njoo Mwanza npo ilemela manispaa
amaghambho ni bhuke
ulihehe mughabho