WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

nipo muleba kagera nataka kuhamia singida
dodoma au morogoro.idara ya sekondari
tuwasiliane 0714480242
 
nipo kasulu kigoma idara msingi anaehitaj kuja huku kutoka mikoa ya moro,pwan,tanga,dar,lindi na mtwara
 
Mwl SAIDI BAKARI yupo SIHA-KILIMANJARO (sec) anatafuta mwl wa kubadilishana nae kutoka TANGA-mjini,korogwe au handeni. Na
0756231236
0714489357
0763407216.
 
Njoo wilaya ya chato mkoa wa geita nije wilaya ya ilemela au nyamagana mkoa wa mwanza.mawasiliano 0767340091
 
Njoo wilaya ya chato mkoa wa geita nije wilaya ya ilemela au nyamagana mkoa wa mwanza elimu sekondari.mawasiliano 0767340091
 
Njoo wilaya ya chato mkoa wa geita nije wilaya ya ilemela au nyamagana mkoa wa mwanza elimu sekondari.mawasiliano 0767340091(abdullah msangi)
 
0789229795......kama wataka kuja lushoto kutoka mkoa wa pwani nicheki humo idara ya secondary.
 
Mimi ni mwalimu athumani a.mngoya, wa shule ya sekondari jaila iliyopo kilindi tanga natafuta mwl. Wa kubadilishana nae kutoka morogoro, kilwa au bagamoyo

kwa mawasiliano; 0752919748/ 0786868480/ 0655 868480
 
Mwl yupo tunduru idara ya sec aliyepo moshi, mwanza moro,tanga singida mjin wabailishane 0756729922
 
Mwl yupo tunduru idara ya sekondari aliyepo moshi,dsm,tanga,singida mwanza,moro pwani,babati amchek 0756729922
 
Mwalimu uliyeko dar au moro idara ya sekondari njoo kasulu mjini,tuwasiliane namba 0714963829, 0768183143.
 
Natwa ANDREW R. NATAFUTA MWALIMU WA KUBADILISHANA NAE KITUO CHA KAZI AJE TABORA MANISPAA. MIMI NAHITAJI ARUSHA, MWANZA JIJI, DAR ES SALAAM, PWANI,, MOROGORO
 
Back
Top Bottom