mwl hekima yupo kilosa anataka mwalim wa kubadilishana naye toka rungwe mbeya au busokelo na kyela 0789599055
njoo serengeti ndugu!
mwl hekima yupo kilosa anataka mwalim wa kubadilishana naye toka rungwe mbeya au busokelo na kyela 0789599055
kilosa to rungwe me nipo idara sec nataka niende rungwe 0789599055
mwl wa singda,biharamulo,mwanza anayependa 2badilshane ki2o cha kaz ani pm.niko wlya ya bahi idara ya sekondari.
KAZIMA SEKONDARY NYUMA YA ORION HOTEL .SHULE NZURI UTAWALA MZURI SEMA MIMI HUKU NI MBALI KWANGU I'm 4rm north tz
njoo mwanza npo ilemela manispaa
njoo mwanza npo ilemela manispaa