WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Mwl.idara ya sekondari natafuta mwl wa kubadilishana nae yeye aje Tanga mjini mimi nihamie manispaa ya Ilala.
 
Mimi nipo Sekondari ya Nyangao Lindi nataka kwenda tanga au Moshi au Arusha, Morogoro
 
Mwl. Idara ya Sekondari nipo mwanga
kilimanjaro
natafuta mwl. wa kubadilishana nae kutoka
mkoa wa arusha 0783960025
 
Mwl yupo tunduru anataka mtu wakudalishana naye aje tunduru yeye aende tanga morogoro dodoma mji chamwino kisarawe kilimanjaro arusha ,korogwe
 
Mwl yupo tunduru anataka mtu wakudalishana naye aje tunduru yeye aende tanga morogoro dodoma mjin chamwino kisarawe kilimanjaro arusha ,korogwe
 
Mwl yupo tunduru anataka mtu wakudalishana naye aje tunduru yeye aende tanga morogoro dodoma mjin chamwino kisarawe kilimanjaro arusha ,korogwe
 
njoo kibondo-kigoma idara ya msingi nije singida, arusha, kilimanjaro, manyara, tanga, au dar. by v. tarimo. 0765896940.
 
mwl. yupo kibondo anataka aende iringa,mbea, morogoro, mwanza, dodoma. wahi sasa 0752056500. nora
 
Mwl. yupo kibondo idara ya msingi anataka kurud kwao Morogoro, AU dodoma,pwani,tanga, singida. wilaya yoyote.0767262225
 
Njoo Kasulu idara ya sekondari mm niende Morogoro au Dar es salaam,tuwasiliane 0714963829 au 0768183143.
 
Mwl. Nipo Mwanza/Magu-mjini_msingi., kwa Mwl. Kutoka Morogoro, Kibaha, mkuranga, Bagamoyo, au Dar..ani pm.
 
nipo sengerema idara ya sekondari natafuta mtu wa kubadili nae aliyepo mwanza jiji tuwasiliane 0752530592
 
Back
Top Bottom