YUSUPH SHEKILINDI
JF-Expert Member
- Aug 7, 2013
- 230
- 4
Mwl BAKARI yupo SIHA-KILIMANJARO anataka mwl wa kubadilishana nae kutoka TANGA mjini,handeni,korogwe,kilindi,pangani au muheza idara sec Na0756231236/0763407216
kasulu hujaridhika napo
Niko Tanga Handeni idara ya sekondari nahitaji mtu wa kubadilishana naye kutoka kibaha,morogoro,mbeya,moshi, ni PM
mwl bakari yupo kilimanjaro anataka mwl wa kubadilishana nae kutoka tanga mjini,handeni,korogwe au kilindi sec na0756231236/0763407216
bukoba
halo kwa mwl anaehitaji kubadilishana kituo cha kaz kutoka mikoa ya morogoro,pwani,tanga,dar,lindi na mtwara idara ya msingi ani PM
Njoo halmashauri ya iringa idara ya sec