WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Nipo Halmashauri ya (w) Rungwe MBEYA. idara ya sekondari. nahitaji kuhamia Tabora manispaa! anayehitaji tubadilishabe 0759058488.
 
anaetaka kubadilishana na mwl teddy karigita.
yuko musoma shule ya msing nyegina
yeyote alioko kati ya mikoa hii:
dodoma,morogoro,
dar es laam,tanga na pwani
kwa mawasiliano pga nO.0756970201,0716293590
 
Natafuta mwl aliyepo mikoa ya iringa morogoro na njombe anayetaka kuja cngida (w) iramba idara ya s/m 2wacliane kwa 0714399141 au 0756407884
 
Wa kutoka magu au mwanza kwenda geita Anicheki kwa 0713550387
 
Last edited by a moderator:
Nipo kasulu nataka kwenda singida mjin au manyon.-idara ya sec kama unahitaj 0756729922
 
Nipo tanga mjini (sekondari) nataka mtu wa kubadilishana naye kutoka ilala,kinondoni
 
Mwl wa sekondar yupo tunduru anatafut mwl wakubadilishana tokaa dodoma kilimanjaro arusha na manyara
 
Back
Top Bottom