WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

mimi ni mwalimu ktk HALMASHAURI YA WILAYA YA ARUSHA.natafuta mwalimu wa kubadilishana naye kituo cha kazi, aje HALMASHAURI YA WILAYA YA ARUSHA na mimi niende ILEMELA au NYAMAGANA-MWANZA. kwa aliye tayari tuwasiliane kwa namba 0787187774 au 0752520817
 
Mwlimu yupo mwanza wilaya ya magu anahitaji kubadilishana kituo na mwlm atakae hitaji toka mkoa wa morogoro,tanga,pwani,arusha,kilimanjro na moshi call 0757871751 idara ya msingi
 
mimi ni mwalimu ktk HALMASHAURI YA WILAYA YA ARUSHA.natafuta mwalimu wa kubadilishana naye kituo cha kazi, aje HALMASHAURI YA WILAYA YA ARUSHA na mimi niende ILEMELA au NYAMAGANA-MWANZA. kwa aliye tayari tuwasiliane kwa namba 0787187774 au 0752520817

Njoo sengerema
 
njoo kibondo ni karibu sana na mwanza mkuu@iD winnie.0765896940
 
ww wa Kinondoni kama utapenda Lindi wasiliana na mm nikuunganishe na jamaa aliopo Lindi wasiliana na mm kupitia namba 0714963829 au 0768183143
 
Kuna jaama yangu idara ya sekondari yuko Lindi kama kuna yoyote yupo Ilala,Kinondoni na Temeke wasiliana nami nikuunganishe naye #0714963829 au 0768183143.
 
mimi ni mwalimu ktk HALMASHAURI YA WILAYA YA ARUSHA.natafuta mwalimu wa kubadilishana naye kituo cha kazi, aje HALMASHAURI YA WILAYA YA ARUSHA na mimi niende ILEMELA au NYAMAGANA-MWANZA. kwa aliye tayari tuwasiliane kwa namba 0787187774 au 0752520817

Shinyanga manispaa Vp??
 
Mwl yupo KIGOMA-KIBONDO anatafuta mwl mwenzake wa kubadilishana nae kutoka SINGIDA,TANGA,MBEA Na0756231236/0759345681.
 
Back
Top Bottom