WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Mwl nko geita halmashauri natafuta mwl wa kubadilishana toka mkoa wa njombe,iringa,mbeya.tuwasiliane kwa 0762315784,0652031005,0682785674
 
Njoo CHATO MJINI _GEITA (Secondary) mdogo aje MOROGORO MANISPAA au KIBAHA. Piga sim: 0764264315
 
CHATO ni Ziwani; samaki wapo kwa wingi. Basi njoo CHATO SECONDARY SCHOOL ipo MJINI kabisa; mdogo wangu aje MOROGORO MANISPA. Samaki wa kilo 10 anauzwa TSH 4000.
 
CHATO ni Ziwani; samaki wapo kwa wingi. Basi njoo CHATO SECONDARY SCHOOL ipo MJINI kabisa; mdogo wangu aje MOROGORO MANISPA. Samaki wa kilo 10 anauzwa TSH 4000. Piga sim 0764264315.
 
Mwl Wa Sekondar Uliyeko Iringa Manispaa, Njoo Moro Gairo m nije Huko. Km Uko Interested Call 0762014861/0685144879
 
acheni utan..................m npo mtwara njooni na huku
 
idara ya elimu sekondari halmashaul kasulu anaehitaj kubadilishana moro pwan dar tanga 0753442070 na 0718448762
 
mi nipo Namanyere mpanda,nimechoka kunywa gongo hapa nahitaji mtu wa town aje huku na mi niende town...khaa
 
kwa mwl.sec ambaye yupo tayari kwenda manyara- babati tubadilishane nije morogoro.
 
Njoo Lushoto.....0789229795...nitafute humo kama uko mkoa wa pwani idara ya sekondari.
 
KAZIMA SEKONDARY NYUMA YA ORION HOTEL .SHULE NZURI UTAWALA MZURI SEMA MIMI HUKU NI MBALI KWANGU I'm 4rm north tz
 
Back
Top Bottom