WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

MSIDANGANYIKE WADAU KWAMBA KUHAMA KUNAHITAJI MWL AWE NA TSD Na HAPANA VIAMBATANISHO MUHIMU NI:
1>kitambulisho cha kazi
2>slp ya mshahara
3>barua ya awali ya makubaliano
4>check namber
5>mwisho ni barua ya ajira iwe ile ya mda au moja kwa moja ya ajira.
NB: kama hujanielewa nitafute kupitia na 0689270867 au 0756231236 nikusaidie mimi nimehama bila t.s.d wala barua ya kuthibitishwa wala havihitajiki msikate tamaa.
 
HUMU NDANI MKIONA TANGAZO UJUE MTU KANIOMBA NIMUWEKEE NA WEWE AMBAE UNATAKA TANGAZO LAKO LIONEKANE HUMU NDANI tumia na hii 0756231236 wengi nilio wawekea wamefanikia na wewe utafanikiwa insha allah.
 
Mimi ni mwalimu nipo ludewa shule ya sekondari kugalawa natafuta mwalimu aje huku mm nihamie iringa mjini shule yeyote...asnten
 
Mimi ni Mwalimu Idara ya Msingi - Halmashauri ya Wilaya ya Siha Kilimanjaro.
Natafuta wa kubadilishana kutoka Halmashauri ya Moshi Vijijini - Kilimanjaro.
Tuwasiliane 0754 074 684
 
Dada angu yupo manspaa ya singida anataka kwenda
dodoma mjin au moro manspaa
0752651970
 
nipo nachingwea, idara ya secondary. Natakarudi Mbeya sehemu yeyote. atakaekuwa tayari piga 0785805309.vifaa vya ndani nitakuachia.
 
Hamia Magu mimi nihamie morogoro manispal, Kibaha, Mkuranga, Bagamoyo au manispaa yoyote ya mkoa wa DSM. Idara ya Msingi.
 
Morogoro ndo dili siku hizi.. Kila mtu anataka Moro kama mimi. Hamieni Kilimanjaro wilaya ya Hai. Mambo ni powa, maji, umeme, barabara lami hadi ndani.
 
NIPO BAGAMOYO WILAYANI NATAKA KUHAMIA MOROGORO MANISPAA AU KILOMBERO idara sec. Na 0756231236 au 0783476711 nikuunganishie.
 
Mbona walimu wengi mnakimbia vijijini, maana sijaona mtu anayehama toka Ilala aua Kinondoni kwenda Tarime, Kigoma au Rukwa.
 
mimi ni mwalimu nipo mkoa wa Pwani,wilaya ya Rufiji.Natafuta mwalimu wa kubadilishana nae aje huku kutokea Kilimanjaro iwe Moshi mjini,Moshi vijijini,Hai,Sanya juu.
kwa mawasiliano piga 0718285764
 
mimi ni mwalimu nipo mkoa wa Pwani,wilaya ya Rufiji.Idara ya elimu sekondari . Natafuta mwalimu wa kubadilishana nae aje huku kutokea Kilimanjaro iwe Moshi mjini,Moshi vijijini,Hai,Sanya juu.
kwa mawasiliano piga 0718285764
 
Back
Top Bottom