WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

mwalimu idara sekondari anayetaka kuja SINGIDA MJINI/MANISPAA kutoka dodoma mjini...morogoro mjini..kibaha/bagamoyo/kisarawe(pwani)..anipm tafadhali
 
Wadau nipo nachingwea nataka rudi mbeya au moro town ama njombe town, idara secondary atakaye kuwa tayari zawadi nono itatolewa? kwa masiliano zaidi.0785805309
 
Rosemary natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kutoka bagamoyo, kibaha, kinondoni, ilala, temeke idara msingi mimi nipo tanga lushoto alie tayar ani pm,
 
Mwl Paschal wa Kigoma mjini anataka kuhamia Mwanza au Bukoba idara ya sekondari no 0759167576 kwa mawasiliano zaidi
 
Mahenge ulanga,,yeyote anayetaka kutoka kibaha,,au Moro Mjin,,idara sekondar,,call 0787914799.
 
Kwa anayetaka kubadilishana kituo mwalimu wa grade 'A', yuko wilaya ya simanjiro anataka mwalimu yoyote anayefundisha katika hizo wilaya mbili za mkoa wa tabora aende simanjiro na yeye aende kati ya hizo wilaya aliye tayar jaman

nicheki kwenye na 0756231236 au 0689270867
 
Kwa anayetaka kubadilishana kituo mwalimu wa grade 'A', yuko wilaya ya simanjiro anataka mwalimu yoyote anayefundisha katika hizo wilaya mbili za mkoa wa tabora aende simanjiro na yeye aende kati ya hizo wilaya aliye tayar jaman

nicheki kwenye na 0756231236 au 0689270867 nikunganishie facta.
 
nipo geita mjini,natafuta mwalimu wa kubadilishana nae atoke bagamoyo,mkuranga,kisarawe au kibaha.idara sekondary.ani pm
 
mimi ni mwalimu idara elimu ya msingi natafuta mtu wa kubarishana naye kutoka wilaya yeyote ile ndani ya mkoa wa TANGA Aje wilaya ya kilindi mimi niende korogwe, lushoto,muheza, handenh au bumburi kama upo tayari nicheki 0786515525
 
Unataka kubadilisha mazingira yako ya kazi? Njoo chunya secondary Nije kibaha kisarawe mkuranga bagamoyo
 
Mimi mwalimu bahati frank natafuta mwalimu wa kubadilishana nae, nipo wilaya ya bariada nataka kurudi singida wilaya ya mkalama, ni mwalimu wa shule ya msingi, kwa aliyetayari tuwasiliane kwa no 0784440081
 
nipo singda iramba{kiomboi}nataka kurud kilimanjaro wilaya yoyote idara sekondari mawaslian 0653369940
 
niko babati idara secondary,natafuta mtu wa morogoro mjin,au mwanza jiji kubadilishana nae,au wilaya zote za dar.0765900781
 
Back
Top Bottom