WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Habar zenu wana JF. I need a help on something, km kuna mtu anajua title ya kitab chochote cha historia ninachoweza kupata topic kuhusu Ethiopian civilization naomba anitajie. Its important.

major events in the world history cmkumbk mwandsh
 
Ndugu yangu yupo Wilaya ya Rorya idara ya sec anatafta mtu wa kubadilishana nae kutokea mkururanga, temeke, ilala, kinondoni au kibaha longa na 0683900853
 
Nipigie cm nikupe mtu fasta 0683900853A
Mimi mwlm wa shule ya sekondari Kayenzi iliyoko Manispaa ya Morogoro natafuta mwl wa kubadilishana nae yeye aje Manispaa ya Morogoro mimi niende Manispaa ya Temeke jijini Dar. Nina miaka saba kazin nina TSD na nimethibitishwa kazini. Mwenye interest tuwasiliane pleas
 
Acha kukatisha watu tamaa mm kuna jamaa zangu kibao wametoka dsm wamekwenda mkoni wengine hadi tarime! Inawezekana bana
Labda ingekuwa vice versa hapo ingekuwa poa lakini eti from Dar to Tukuyu du hata kama ni mwanamke atalazimisha kumshauri mume wake ahamie Dar. Dar ni kila kitu ndugu yangu asikuambie mtu
 
Naona hili jukwaa limevamiwa nawatu wasio walimu km mnakatishana tamaa hivi wanafunzi mnawafundishaje? Kuna walimu kibao nimeshuhudia wakitoka dsm hadi kagera, mara na tarime sembuse tukuyu mbona tukuyu pa ukweli mm si mnyakyusa lkn hakuna sehemu nzuri ya kuishi hapa tz km Tukuyu!
Hivi tukuyu kukoje? it seems kuko hovyo sana,tuambizane basi!
 
Mimi ni mwalimu wa sekondari wilaya ya nachingwea natafuta mtu wakubadilishana nae kutoka moro, pwani na dar!
 
Kuna jamaa yangu yuko Mbinga Msingi anahitaji Mwl wa kubadilishana toka Songea (m) au V mpigie 0686434354 ,uje Mbinga.
 
Mimi kuna mdogo angu yupo elimu sekondari newala-mtwara ana tsd no. Anahitaji kuhamia mkoa wa morogoro.pwan au dar!!!! Aliye tayar ani sms pm
 
Nipo manispaa ya bukoba kwa aliye tayar kuja huku kutoka manispaa ya songea, manispaa ya sumbawanga na manspaa ya iringa tuwasiliane kwnye inbox yangu.
 
Nipo manispaa ya bukoba nahitaji mwl wa kubadirishana nae ambae yupo manispaa ya songea iringa au sumbawanga.
 
Idara secondary npo manispaa ya bukoba nahitaji mwl wa kubadilishana nae ambaye yupo manispaa ya songea, iringa au sumbawanga.
 
Nipo Magu msingi. kwa MWL.Kutoka Kibaha, Mkuranga, Morogorn manispal, au Wilaya yoyote ya mkoa wa Dsm ani-pm.
 
Wanajamiifm km yupo wakubadilishana nae toka arusha au kilimanjaro anipm nipn singda idara sek
 
nasisitiza wakuu,anayetaka kwenda MBEYA JIJI kutoka ama manispaa za,
1.ILALA
2.TEMEKE
3.KINONDONI au
4.MOROGORO (elimu ya msingi) anijuze kwa pm nina nafasi.
 
Kwa anayetaka kubadilishana kituo mwalimu wa grade 'A', yuko wilaya ya simanjiro anataka mwalimu yoyote anayefundisha katika hizo wilaya mbili za mkoa wa tabora aende simanjiro na yeye aende kati ya hizo wilaya aliye tayar jaman
 
Back
Top Bottom