WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Leo hakuna haja ya kutafuta majina ya watu na wanakopatikana wenyewe mnaanza kujitambulisha taratibu!!!
 
humu jamiiforums namo mbona watu hawapo tayari kubadilishana vituo kiivo jamani khaaa?????????????????
 
njooni Pwani huku Kibiti mie nirudi zangu Tanga jamani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! kuna umeme huku, maji, matunda, karibu na Dar, nauli kuja Dar ni 3500 tu na usafiri hadi saa 2 usiku........................mie nirudi zangu Tanga mjini jamani nimepamic hom ila ni kwa wale wa idara ya secondary tu!
 
Mdogo wangu ni Mwalimu Wa Shule ya msingi. Yuko wilaya ya Tunduru mkoa wa Ruvuma. anatafuta mwalimu wa kubadirishana naye kutoka Mkoa wa Iringa.
 
Mdogo wangu ni Mwalimu Wa Shule ya msingi. Yuko wilaya ya Tunduru mkoa wa Ruvuma. anatafuta mwalimu wa kubadirishana naye kutoka Mkoa wa Iringa. mawasiano ni 0785949677 au [email protected]
 
Nipo Dodoma (Chamwino) idara ya sekondary kwa alietayari kuja toka Moro -dumila, Moro mjini, Misungwi,
 
Natafuta mwl wa kubadilishana nae idara ya sekondary mi nipo dodoma wilaya ya chamwino kwa yeyote aliepo moro mjini, Iringa , gairo, misungwi
 
NIPO IDARA YA SEC,Kwa aliyetayar aje halmashauri ya moshi vijjn,SHARTI atoke mikoa kati ya,: njombe,mbeya na sumbawanga,NICHEK KUPTIA 0752230738
 
Kuna dada yangu yuko magugu wilayani babati mkoa manyara,kwaanaye taka kubadilishana nae mkoa pwani wote,moro,dar na tanga.
 
Habari wakuu, nipo sikonge tabora, natafuta mwalimu wa kubadilishana, napenda kwenda mbeya au iringa.
 
Habari wakuu, nipo sikonge tabora, natafuta mwalimu wa kubadilishana, napenda kwenda mbeya au iringa.
 
Back
Top Bottom