WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Mimi ni mwl wa s/m matemanga,Tunduru,ruvuma,natafuta mwl wa kybadilishana naye aliye mkoa wa Tanga au morogoro au pwani au dar,simu namba 0758538890 au 0686538848
 
Mimi ni mwl wa s/m matemanga,Tunduru,ruvuma,natafuta mwl wa kybadilishana naye aliye mkoa wa Tanga au morogoro au pwani au dar,simu namba 0758538890 au 0686538848

Wadau nipo Manispaa ya Ilala nataka kuhamia sehemu yeyote isiyo na umeme, maji na barabara..

Ni PM
 
Nipo wilaya ya mbinga mkoa wa Ruvuma natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi kutoka mikoa ya Singida au Manyara wilaya yoyote idara ya sekondar.aliye tayari anicheki 0765070911
 
Jaman nipo SINGIDA IRAMBA KIOMBOI SHULE NEW KIOMBOI NATAFUTA M2 WAKUBADILISHANA NAE TOKA KILIMANJARO WILAYA YOYOTE MWANGA,SAME,MOSHI{M}AU {V},ROMBO,HAI,SIHA,NIPO SECONDARY NO.0653369940,AU MKOA WA ARUSHA NA TANGA VILE VILE NIPO TAYARI.
 
Tangazo si la m2 mmoja ucseme hakuna heshma izingatiwe na tangazo nimeweka kwa waliotayari kusema hamna m2 km huyo haihusu!
 
Nina mdogo wangu yuko tunduru ni mwal wa shule ya msingi. anatafuta mtu wa kubadirishana naye. atoke Iringa aje Tunduru. Mawasiliano ni 0785949677 au [email protected]
 
mi ni mwl wa s/m nipo h/w ya serengeti nahitaji mwl wa kubadilishana nae niende mwanza jiji, nzega au shinyanga mji. Nina miaka 7 kazini tsd no na mengne yote yanayohitajika kama kuna mtu yupo maeneo hayo na angependa kuja serengeti ani pm tafadhali
 
Aaah kwa mwendo huu itabidi nifungue shule yangu ili mke wangu mtarajiwa akimaliza chuo awe headmistress hapo
 
Wadau mimi ni mwalimu idara ya sekondari nipo wilaya ya Iramba Magharibi natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kutoka wilaya za arusha vijijini au meru, kama kuna aliye tayari tuwasiliane au ni PM. Ahsanteni.
 
Mwl idara ya secondari wa kubadilishana toka mikoa ya mbeya,iringa,njombe. Yeye aje bukoba.
 
Back
Top Bottom