WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

niko manyara mbulu, idara ya sekondari... nataka kwenda mwanza jij au moshi tuwasiliane 0718278465
 
Mimi ni mwalimu wa secondary nipo katika halmashauri ya Moshi. Ninatafuta mwalimu wa kubadilishana vituo vya kazi. Awe anatokea Morogoro au Kibaha. No yangu ni 0714393238.
 
Nipo mkoa wa Manyara mbulu mwl sekondari natafuta mtu Arusha jiji Arusha dc au Meru! Moshi. Moro na iringa town!
0686255906
 
anayehitaji kuja KILINDI-TANGA kutoka wilaya yoyote kutoka mkoa Kilimanjaro, nitafute kwa simu namba 0759454267
 
mi ni mwl. sekondari. niko halmashauri ya wilaya Hai kilimanjaro natafuta mtu wa kubadilishana nae kituo cha kazi kutoka MWANZA jiji au NYAMAGANA au ILEMELA. tuwasiliane kupitia 0763 943241
 
kaka mimi matangazo namuwekea swaiba ngu yupo singida nayeye pia kapata na cyo huyo pekee wapo wengi nawawekea matangazo na wamefanikiwa soo kuona matangazo yangu haimanishi kuwa yananihusu mengine yawatu.

Mtu kaandika jina lake Chinga one na bado unamwita kaka, wewe ulijuaje kama ni mwanaume. Anyway, tusikate tamaa jamani mimi nilifanikiwa humu humu
 
Habar zenu wana JF. I need a help on something, km kuna mtu anajua title ya kitab chochote cha historia ninachoweza kupata topic kuhusu Ethiopian civilization naomba anitajie. Its important.
 
Habari wana JF?

Mimi ni mwalimu niliyepo katika halmashauri ya wilaya ya LUDEWA mkoani njombe.

Nilikuwa nahitaji kubadilishana na mwalimu yeyote ambaye yupo katika mikoa ya Pwani, Dar,Morogoro au Tanga kwa atakeye hitaji tuwasiliane kwa njia zifuatazo.
0717743549
[email protected].
 
Mimi mwalimu rosemary wa tanga lushoto natafuta mtu wa kubadilishana nae kutoka dar es salaam, kibaha, bagamoyo, mkuranga kwa alie tayar tuwasiliane 0784647289 idara ya msingi
 
Hi wanajamii forum nawatafutia wadogo zangu watu wa kubadilishana nao mmoja yupo katavi mpanda na mwingine yupo maswa wote ni walimu wa shule za msingi wapo tayari kubadilishana na mtu ambaye yupo kwenye halmashauri ya wilaya ya ludewa,halmashauri ya mji njombe na halmashauri ya wilaya ya njombe kwa anaehitaji tuwasiliane kwa namba zifuatazo 0766597333/0712230770.
SABABU NI KUWA KARIBU NA FAMILIA
 
Nipo wilaya ya Mbinga mkoa wa Ruvuma natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi kutoka mikoa ya Singida au Manyara idara ya sekondar.nichek 0765070911
 
Habar zenu wana JF. I need a help on something, km kuna mtu anajua title ya kitab chochote cha historia ninachoweza kupata topic kuhusu Ethiopian civilization naomba anitajie. Its important.

major issues
 
Natafuta mwl wakubadilishana nae aje singda iramba kiomboi me niende kilimanjaro wilaya yoyote nipo sekondari,wasiliane namba 0653369940
 
Back
Top Bottom