WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Mimi mwalimu wa shule ya sekondari ilboru arusha natahitaji kuhamia dar es salaam kwa mwalimu yoyote anaetaka kuhamia arusha tokea dar tuwasiliane kwa namba
+255767131671
 
nilijua huku ni siasa tu!ila nimegundua kumbe elimu yetu pia ni siasa imetawala
 
nilijua huku ni siasa tu!ila nimegundua kumbe elimu yetu pia ni siasa imetawala

I know very well that this is a political forum but i have a case sensitive then i saw it worthy to announce it here other than else where because kuna readers wengi na nahitaji kuhama seriously
 
Mimi mwalimu wa shule ya sekondari ilboru arusha natahitaji kuhamia dar es salaam kwa mwalimu yoyote anaetaka kuhamia arusha tokea dar tuwasiliane kwa namba
+255767131671

Shkamoo Mwalimu!

Nenda jukwaa la Elimu kamanda
 
ME 17:30 Today
Mimi mwalimu wa shule ya sekondari
ilboru arusha natahitaji kuhamia dar es
salaam kwa mwalimu yoyote anaetaka
kuhamia arusha tokea dar tuwasiliane
kwa namba +255767131671
 
....Mwalimu......usihamie dar.....gharama za maisha zipo juu sana....kila kitu unalipia.....hadi kuelekezwa njia......
 
Huyu jamaa anatuchota akili hapa anadai tiyari kafanikiwa kuhama halafu bado naziona post zake analalama anataka kuhama singida niaje babu watu tuko serious humu halafu we unaleta mizinguo....

kaka mimi matangazo namuwekea swaiba ngu yupo singida nayeye pia kapata na cyo huyo pekee wapo wengi nawawekea matangazo na wamefanikiwa soo kuona matangazo yangu haimanishi kuwa yananihusu mengine yawatu.
 
Nipo magu mwanza elimu ya msingi kwa mwl. Wa kutoka dar, kibaha, mkuranga, moro manispal anipm.
 
Anayetaka kwenda Ngara, kutoka mkoa wowote kati ya arusha, tanga, moro, dom, dar au pwani. Awe Idara ya elimu Sekondari .PM
 
Ukiwa ni mwl. Wa sekondar dodoma mjini na ungependa kuja biharamulo kagera ni pm
 
Back
Top Bottom