Kuna mtu kapangiwa kata ya Kivukoni jijini Dar es salaam, yeye hataki anataka kwenda kijijini hasa mikoa ya Iringa kama upo interested like hii post.
Kuna mtu kapangiwa kata ya Kivukoni jijini Dar es salaam, yeye hataki anataka kwenda kijijini hasa mikoa ya Iringa kama upo interested like hii post.
mm niko mwanga kilimanjaro nahitaji wa kubadilishana naye
monduli unaijua lakini?
uko wapi ndugu? Ata mimi niko hai kilimanjaro nataka kuhamia mwanza mjini. Piga 0763943241mwanza utaenda?
idara gani na singida sehemu gani kuna rafiki yangu yupo klm
wilaya ya singida (v)
idara gani na singida sehemu gani kuna rafiki yangu yupo klm
utafanikiwa tu rafiki shaka ondoa Mungu yupo.
hahahaa kaka text yako nimeisoma mara tatutatu lkn wapi cjaielewa ok mm nipo singida nataka kwenda tanga au kilimanjaro haya nipe mchongo.