WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Jamani mimi nipo halmashauri ya MOSHI (v),kwa aliye wilaya yoyote katka mkoa wa MBEYA.(sec) 0752230738 au 0758847909,
 
njo newala nije njombe,iringa au mbeya. mwl wa msingi. 0766096891 au 0783040506. asante!.
 
Nipo mvomero idara ya msingi anayetaka kuja toka Dar au kibaha anipm
 
Mimi ni mwalimu idara ya msingi,wilaya ya Sengerema.Nipo Sengerema mjini.Kama kuna yoyote anaehitaji kuhamia Sengerema mjini,kutoka Dar es salaam au kilimanjaro,anicheck kwenye namba 0652 394 266.
 
Aliye tayari kuja wilaya ya kilwa kutoka mikoa ya Arusha,Manyara,Dar,au Tanga tubadilishane.tuwasiliane kwa pm au hapa
 
Nawatafutia wadogo zangu mtu wa kubadilishana vituo vya kazi mmoja yupo maswa na mwingine yupo katavi wanataka kurudi mkoa wa njombe ilikuwa karibu na familia atakae kuwa tayari tuwasiliane kupitia namba hzi hapa hv 0766597333/0712230770(Wote wapo idara ya shule za msingi)
 
Nipo morogoro wilaya mvomero idara ya msingi nataka kwenda dar au kibaha
 
Mimi Mwalimu wa agile ya msingi rufiji bungu daraja la tatu alietayari kwenda kutoka dar, au pwani tuwadiliane 0715360790
 
Mimi ni mwalimu wa sekondari mwajiriwa katika manispaa ya Mtwara Mikindani (Mjini) masomo ya sayansi natafuta mwalimu wa kubadilishana nae vituo vya kazi kutoka morogoro,kama unapenda kuja mtwara nitafute 0765-057495
 
Nipo Magu Mjini S/msingi kwa aliyetayari kubadilishana kutoka Mkuranga,Kibaha, Morogoro Manispal au Manispal yoyote ya mkoa w Dar es salaam naomba Ani-PM.
 
Nipo Magu Mjini S/msingi kwa aliyetayari kubadilishana kutoka Mkuranga,Kibaha, Morogoro Manispal au Manispal yoyote ya mkoa w Dar es salaam naomba Ani-PM.
 
kuna mwl anataka kuhama kutoka mkuu secondary kwenda mkoa wa morogoro aliye tayari pm nikupe detail
 
Nahitaji mwalimu wa kubadilishana naye aje mbinga atoke songea municipal au songea vijijini namba 0686434354
 
Back
Top Bottom