njoo serengeti tafadhalikwa aliye tayali kuja nzega tabora mie niende mbeya. 0784548387.sekondari.
njoo serengetimimi natafuta mwalimu wa kubadilishana nae yeye aje shinyanga manispaa mimi niende manispaa ya morogoro,idara ya msingi
nahitaji mwalimu wakubadilishana naye anayeweza kuja fanya kazi morogoro mjini,atoke njombe au iringa mjni
Jaman nipo serious nataka nije home kilimanjaro wilaya yoyote njoon singda iramba wilayan kabisaaa kiomboi
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?
Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.
Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.
Tunakutakieni utumishi mwema.
JamiiForums
mimi nipo Kibiti pana maji, umeme na karibu na dar usafiri kuja Dar ni lisaa limoja na nusu na unapatikana hadi saa 2 usiku kila siku. kwaiyo kwa wale ambao wangependa kuwa karibu na DAR au kuishi maeneo haya tubadilishane....mimi nipo idara ya sekondari na nina TSD namba, barua ya kuthibitishwa na barua ya kudumu ya ajira,, nataka kurudi home TANGA manispaa au hata wa Dodoma manispaa pia naweza kubali. if you are interested poke me through [email protected]
mwl wa sec anaetaka kuja nzega mm niende moshi(v) au manispaa tuwasiliane,
[email protected]
Anayetaka kuja iringa mufindi piga
0762 624 621
071328 4040