WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

natafuta wa kub adilisha wilaya mi ni mwalimu nipo tarime natafuta wa kutoka wilaya za mkoa wa dar
 
Nipo wilaya ya KAHAMA,natafuta mwalimu wa kubadirishana kituo cha kazi upande wa IRINGA.Idara Sekondari.Ni PM au niandikie sms 0684122208.
 
Kwa aliyepo iringa municipal anahitaji kuja rungwe (tukuyu) mbeya, na mm niende iringa ani inbox hapa 0755766098, ni idara ya sekondari.........

Njoo mbinga ruvuma mwl jiran kabisa na iringa me nje tky. 0764122433
 
Kwa anayetaka kubadilishana kituo mwalimu wa grade 'A', yuko wilaya ya simanjiro anataka mwalimu yoyote anayefundisha katika hizo wilaya mbili za mkoa wa tabora aende simanjiro na yeye aende kati ya hizo wilaya aliye tayar jaman

njoo basi shinyanga wilaya ya kishapu.
 
niko idara ya sekondari ktk almashauri ya wilaya meatu-simiyu.namtafuta mwl wa kubadilishana naye kutoka wilaya ya karagwe,bukoba mjini au kyerwa. piga 0752154520 au 0686670003
 
Hi walimu wenzangu???? Naitwa mwl jenny nipo tanga jiji, nahitaji mtu anayetoka mbeya jiji idara ya sekondari, ili niende mbeya jiji na yy aje tanga jiji, contact hapa 0763639715.
 
Naitwa mwl john nafundisha s/m mwakizega iliyopo wilaya ya kigoma vijijini ilagala nauli ni tsh 4000 kutoka kigoma mjini nahitaji kuhamia mikoa ya kaskazini {YAANI MWALIMU WA KUBADILISHANA NAYE VITUO VYA KAZI }moshi arusha au manyara aliye tayari tuwasiliane 0785050239 au ani pm
 
Jaman hamtaki kurudi kiomboi singida iramba?nipo wilayan hebu njon nirud namie home kwe2 kilimanjaro wilaya yoyote idara sekondar contact 0653369940 nipo seriously
 
Mkuu Katitima morogoro vipi kuna mtu anataka kwenda mbeya unaweza kuwa tayari kwa hiyo wilaya.
 
Last edited by a moderator:
Mwl Tina yupo Babati Manyara idara ya msingi anatafuta mwl wa kubadilishana nae kutoka Bukoba mjini no ya cm ni0684521132
 
Back
Top Bottom