WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

nahitaji mwalimu wa kubadilishana nae, idara ya sekondari kutoka Dar - Temeke au Ilala aje Arusha - Arumeru town
 
Mkuu Katitima vipi umeiona pm yangu nimeweka mawasiliano ili tuongee.
 
Last edited by a moderator:
Mwl Anna yupo Rorya idara ya sec anafuta mwl wa kubadilshana nae wilaya za mkuranga, temeke, kinondoni au kibaha no ya cm 0683900853
 
Rafiki yupo Idara ya sekondari TUKUYU(M) anahitaji kwenda MBEYA(V) . * Uhamusho wa ndani ya mkoa! Unayehitaji tuwasiliane kwa 0769 058488
 
ndugu yupo TUKUYU(M) idara ya sekondari, Anahitaji kwenda IRINGA (M). Mwenye interest ya kubadilishana naye tuwasiliane Kwa 0769 058488.
Ndaga Fijo.
 
Mwl. Pendo john.yupo singida mjin anatafuta mtu wa kubadilshana ye aende dodoma mjn au moro town au chalinze
0752651970
 
Nahitaji Mwl.wa kubadilishana kituo cha kazi (sekondari) mimi Niende Kinondoni, yeye Aje Tunduru Mjini
 
Natafuta mwl wa kubadilisha nae kutoka mbeya jiji au rungwe aje korogwe mjini.

0752588522/0683900182
 
Kuna thread special kwa ajili ya kubadirishana vituo vya kazi kwa walimu.
 
mwl Daniel yupo kasulu sekondari anataka kuhamia iringa au mbeya simu 0757605030
 
Natafuta mtu wa kubadirishana naye kutoka morogoro wilaya yeyote ile,kilwa,pwani na kibaha yeye aje KILINDI TANGA
 
Ndugu yangu ni mwalimu wa sekondari aliyehitimu Degree..Masomo anayofundisha History & kiswahili..yupo Halmashauri ya Kilwa,mkoa wa Lindi..Anatafuta mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi,,kutoka wilaya ya Bagamoyo,,Mkuranga na Kibaha..Ukisoma mjulishe na mwenzio..

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom