ISACOM
JF-Expert Member
- Jul 22, 2009
- 546
- 416
Natafuta mtu wa kubadirishana naye kutoka morogoro wilaya yeyote ile,kilwa,pwani na kibaha yeye aje KILINDI TANGA
Kaka huko kilindi kuko poa,,ndugu yangu yupo Kilwa anahitaji wa kubadilishana nae
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums