WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Npo Musoma mjini anayehitaji kuhamia idara secondary tubadilishane toka morogoro mjini;Dodoma mjini au singida mini tuwasiliane 0713347911
 
Ndg. Wana JF nahitaji Mwl. wa sekondari nibadilishane nae kituo cha kazi kutoka KINONDONI Mimi nipo TUNDURU MJINI
 
By kim 20:40 27 january 2014
Nipo idara ya sekondari BAGAMOYO natafuta mtu wa kubadilishana nae kituo cha kazi kutoka KILOMBERO au MORO-MANISPAA kwa mawasiliano (0783476711)
 
By kim 20:40 27 january 2014
Nipo idara ya sekondari BAGAMOYO natafuta mtu wa kubadilishana nae kituo cha kazi kutoka KILOMBERO au MORO-MANISPAA kwa mawasiliano (0783476711)
Nenda Kilwa kama vp

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Mimi ni mwl idara ya sekondari nipo mkoa wa Rukwa halmashauri ya wilaya ya Nkasi kwa yeyote aliyetayari kubadilishana nae kituo kutoka kati ya halmashauri yeyote kati ya mkoa wa PWANI,DODOMA NA MOROGORO naomba tuwasiliane kwa namba zifuatazo 0767-665619 na 0783-677207
NAWATAKIA KAZI NJEMA
 
by kim 20:40 27 january 2014
nipo idara ya sekondari bagamoyo natafuta mtu wa kubadilishana nae kituo cha kazi kutoka kilombero au moro-manispaa kwa mawasiliano (0783476711)

du tatizo bagamoyo kubwa tungekamilisha deal ila naogopa nisije nikawa sijafanya kitu mi nipo moro manispaa upo shule gani mkuu
 
JamiiForums.com Earn 10$ for every 30 second Task. Internet Job from home
 
MIMI NIMEFANIKIWA KUHAMA KUPITIA HILI JUKWAA NA HIVI NINAVYOSEMA NAFUNGA DATA SHEET NIRUDI TANGA. Nawashauri mnao tafuta msikate tamaa na kwa yeyete anaetaka ni msaidie nilivyo fanya nipo tayari na 0756231236 na ukiona tangazo humu ujue m2 kaniomba nimuwekee huhuuu narudi TANGA KUTOKA RUVUMA thnx god and JF.
 
hongera mkuu and thanx for ur encouragements.
 
Ndugu yangu mwalimu wa shule ya msingi wilaya ya Serengeti mkoan Mara anatafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi kutoka maeneo ya Arusha mjini,Moshi mjini,wilaya ya Babati,Ilemela,Nyamagana au Bukoba mjini.kwa aliye tayar amcheki kupitia 0716115075 au 0752515606
 
Martin george nataka mwl wakubadilishanaye Mimi niko tunduru lkn mwl anaye toka dar Au mwanza kama yupo basi tuwasiliane kupitia namba 07848239367
 
Mim niko makambako shule ya msingi mlowa 3km from from town. Dk 5 kwa gari,pikipiki na bajaji dk 10 kwa baskel na dk 20 Kwa mguu, anaetaka tubadilishane wilaya yoyote dar au moro municipality aandike namba yake nimcheki, huku makambako ni full natural AC hatununui fen, vyakula bei powa!
 
Back
Top Bottom